Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Sina kipingamizi kwako mkuu, mimi siamini katika kuwa na bikra au kutokuwa nayo.Nimeongeza akili zangu na nikapata jibu kuwa Ustaarabu ni muhimu kwa binaadamu, na mtu anapokosea haimaanishi kuwa hawezi kubadilika. Na vile vile huenda masuala ya nyuma unapomuuliza ni sawa na kumtonesha kidonda.
Sasa wewe fikiria, umeenda kuposa, mtu anakuuliza kuwa ushawahi kugegedana na mwanamke ukajibu ndio, unakataliwa kupewa mke, au mchumba anakukataa kisa uliwahi kutoka na mwanamke mwengine unajisikiaje?
Bujibuji amesema juu kuwa haulizi sahani katumia nani, ukimuekea msosi anakula tu.
Pia hakuna mtu wakukuuliza hayo maswali ya kipuuzi eti ulishawahi kugegeda!?