Nani alimtoa bikra mke wako?

Nani alimtoa bikra mke wako?

Nimeongeza akili zangu na nikapata jibu kuwa Ustaarabu ni muhimu kwa binaadamu, na mtu anapokosea haimaanishi kuwa hawezi kubadilika. Na vile vile huenda masuala ya nyuma unapomuuliza ni sawa na kumtonesha kidonda.

Sasa wewe fikiria, umeenda kuposa, mtu anakuuliza kuwa ushawahi kugegedana na mwanamke ukajibu ndio, unakataliwa kupewa mke, au mchumba anakukataa kisa uliwahi kutoka na mwanamke mwengine unajisikiaje?

Bujibuji amesema juu kuwa haulizi sahani katumia nani, ukimuekea msosi anakula tu.
Sina kipingamizi kwako mkuu, mimi siamini katika kuwa na bikra au kutokuwa nayo.
Pia hakuna mtu wakukuuliza hayo maswali ya kipuuzi eti ulishawahi kugegeda!?
 
Sina kipingamizi kwako mkuu, mimi siamini katika kuwa na bikra au kutokuwa nayo.
Pia hakuna mtu wakukuuliza hayo maswali ya kipuuzi eti ulishawahi kugegeda!?
Kwa vile unajua swali kama hilo la kipuuzi, basi pia sio busara kukaa na mwanamke ukamuuliza habari zake za nyuma katoka na nani... we tia mkono kizani, ukiona tabia chafu unapiga na chini tu kama habadiliki. wapo wengi duniani hawa
 
Yote hayana ubaya kama mtaulizana wenyewe kwa wenyewe, ukijua past ukai correlate na present basi future inakua uchi kabisa
Upuuzi utakuwa umefika ukweni kuchumbia, alafu hao wazazi ndio waulize hivyo.
 
Mkuu, anachoweza kukwambia mwanamke ni kuwa yeye si bikra tu. Tena kuanza kumuuliza nani amekutoa, uliumia? ulijiskiaje? mara ngapi mmefanya, hii ni private life yake, haikuhusu, kinachokuhusu wewe ni kuanzia pale unapomuoa tu, kabla ya hapo huna hio right. Dhambi haihadithiwi, ni siri yako na mungu tu.

Ikiwa unaona hivo ni sawa, kwanini useme ukweni ndio itakuwa upuuzi? nahisi ukweni ndio zaidi wao wanahakai ya kujua mtoto wao wa kike anaenda kuishi na nani kuliko wewe kujua kagegedwa na nani kabla yake. Wazazi ndio wa kufanya history check up, lazima amjali mwanawe ajue wewe ni mwanaume wa aina gani. akupe tu mtoto wake wa kike ivi ivi baadae uende ukamsumbue? Na ndio maana dini nlokuwa nnayo mimi, mwanamke ambae si mjane, ndoa yake haiwi halali kama hakuna mwenye mamlaka nae kutoa idhni.... Yaani umchukue mwanamke ukimbie nae muoane kwa siri, basi hio ndo sio halali, tofauti na mwanamme.
 
Hii kweli kabisa najua watu hapa wanapiga kelele na kutoa mapovu kwa sababu wanawake wengi walipoteza bikra zao kwa umalaya wao na wanaume wengi wameoa wanawake ambao hawana bikra kwa hiyo wanajitetea tu .POLE YAO WAIOPOTEZA BIKRA ZAO NA WANAUME WALIOA WANAWAKE AMBAO HAWANA BIKRA
 
Binafsi nilimtoa mwenyewe na shuka lililochafuka damu sikulifua na nimelificha kama kumbukumbu maishani mwangu, alikuwa chini ya miaka 17,namheshimu hadi leo kesho na siku zote za maisha yangu sijawahi kuchepuka na sichepuki sina sababu. Asante sana Mungu wangu kwa kiumbe hichi hapa duniani.
 
.... Samahani naomba niulize, kwani bikra ndo chakula gani?!.... Huku kwetu mbona sijasikiaga?!
 
Binafsi nilimtoa mwenyewe na shuka lililochafuka damu sikulifua na nimelificha kama kumbukumbu maishani mwangu, alikuwa chini ya miaka 17,namheshimu hadi leo kesho na siku zote za maisha yangu sijawahi kuchepuka na sichepuki sina sababu. Asante sana Mungu wangu kwa kiumbe hichi hapa duniani.
Alikuwa mdogo. Haikuwa akili zake. Hata Mimi nilitolewa chini ya miaka 17 na alinichumbia lakini akili yangu ilivyopevuka nilimwacha nikaolewa na mwingine ambae nampenda nikiwa nimepevuka akili. Ndo maana siamini mambo ya bikra kabisa.
 
Tofauti ni kubwa kama ukimtoa bikla na ukamuoa huyo kwenye maisha ni mvumilivu sana ila msumbufu pia kuondoka hataki kubaki anakufanyia fujo tu heri walio oa wasio na bikila ingawa wakikutana na walio watoa hawana ujanja wanawapa tena kuwasahau hawawezi kamwe
 
Alikuwa mdogo. Haikuwa akili zake. Hata Mimi nilitolewa chini ya miaka 17 na alinichumbia lakini akili yangu ilivyopevuka nilimwacha nikaolewa na mwingine ambae nampenda nikiwa nimepevuka akili. Ndo maana siamini mambo ya bikra kabisa.
Huoni kama kuna tatizo hapo,

Umetolewa utepe chini ya miaka 17

Wazazi hawafanyi kazi zao ipasavyo
 
Back
Top Bottom