Nani alimtoa bikra mke wako?

Nani alimtoa bikra mke wako?

Pamoja na yooote mwanamke lazima ujilinde kinoma sio mtu anatokea leo jion anakula mzigo

Na mko wengi sana wa dizaino hii siku hizi yaan leo umeimbishwa kesho ushagegedwa

Mbaya zaidi na watu unaokutana nao mara kwa mara kama kazini
Kama una nyege unavumilia ili iweje,,kama mtu anakula na kusepa hata umzungushe mwezi atasepa tu
 
Nikwel naamin dem akikupenda na ukimtoa bikra hakusahau.
Mi dem niliyemtoa bikra nilidum nae for 3yrs,..ila tulivomaliza chuo umbali ulileta migogoro ming tuliachana mwisho wa siku.now ni miaka 6 imepita ila huyu dem haijawai pita mwez asitume hata msg 1 ya kunisalimia,ingawa mi nishamove on na hua anaona picha za madem zangu insta lakin huonyesha dalili zote za kutaka niwe wake tena..hunishirikisha kwenye matatzo yake ya kifamilia sana.
So naamin katka bikra,,..ingawa sio wote.
 
ukiwaza sana utapata msongo wa mawazo! cha msingi jenga ndoa yako katika uaminifu kwanza kwako na baadae kwa mwenzako. Kwanini yeye asijiulize wewe ulijifunzia kwa nani?
 
Back
Top Bottom