Nani alimuua Laurent Desire Kabila?

Nani alimuua Laurent Desire Kabila?

Che guevara hakumkubali huyu jamaa kwa tabia yake ya ulevi na umalaya,kwny ripoti yake nadhani ipo google anasema jamaa hakuwa mstari wa mbele kwny mapambano,wkt askari wake wanapambana yeye alikua dar anakula bata,na kigoma alikua inasemekana alihamia kabisa ktk danguro,maybe angekua mstari wa mbele angeichukua congo mapema zaidi ya 97.

Anyway,what do i know,am just a farmer,ngoja niende nikaokote mayai.
 
Paul Kagame admits ordering the 1994 assassinatio…:
 
Katika video tu, nimetokea kumpenda Laurent Kabila
 
Back
Top Bottom