Nani alimuua Robert Auko aliyekuwa waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya?

Kwaiyo saa wana usalama awakustukia?
 
Moi ameua Wakenya wengi sana. Ndio maana Odinga na Baba yake walipanga njama za kujaribu kuangusha/kupindua serikali ya Moi mwaka 1982.
 
Mwishoni kesi ilihishiaje?
Ushahidi wa mazingira ulionyesha, umeonyesha muuaji ni nani but nani wa kumfunga paka kengeleee!? so mpaka leo hakuna aliyewajibishwa kwa mauaji ya Auko
 
Ziada ya ukweli huu, Robert Ouko alikuwa mwanasiasa aliyependwa sana na jamii ya wa LUO toka Nyanza region na walikuwa wanamuita TOURCH wakimaanisha alikuwa kurunzi ya kuwaangazia njia hivyo hali hii ilimfanya kuwa tishio kwa himaya ya Raisi Moi na hivyo palikuwa na chuki dhidi yake.
 
TANZANIA walisema JK dikteta eti na magufuli dikteteta tusiombee kupata dikteta nyie wapumbavu tatembelea meno
 
Kuna mchezo nataka niucheze na huyu babu maana nasikia YEYE MKAPA na SUMAE Ndio wamiliki wa kampuni hewa ya Angel Trust inayo miliki hisa zaidi ya asilimia tisini kiwanda cha karatasi mgololo na Magufuli si mgeni wa hili swala...... Moi naamini kazeeka japo nasikia ng'ombe hazeeki maini
 
Ushahidi wa mazingira ulionyesha, umeonyesha muuaji ni nani but nani wa kumfunga paka kengeleee!? so mpaka leo hakuna aliyewajibishwa kwa mauaji ya Auko
Dah!! Huruma sana
 
Wadau naomba kujua iwapo Luna MTU anajua historia .ya Robert Auko Alikuwa Waziri wa mambo nje wa kenya.Huyu aliuawa wakati wa utawala wa Rais Moi

Aliyemuuwa Robert Ouko ni Biwotti. Ingawaje Moi alikuwa Rais, madaraka makubwa na maamuzi mengi ya kikatili yalifanywa na Biwoti ambaye ni Kabila la Moi. Walioshiriki kwenye uwaji huo, ikiwa pamoja na Oyugi, Kabila la Ouko, ambaye alikuwa Mkuu wa usalama Kenya, alimudanganya Ouko kuwa atamsaidia kutoroka kupitia Tanzania, badala yake akamukabithi kwa wauwaji wake. Baada ya Oyugi kutelemushwa cheo na Moi, kwa hasira akajitolea kwenda kusema ukweli kwenye kamata iliyoteuliwa kuchunguza kifo cha Ouko amemuuwa Ouko, lakini hakufika, alikamatwa akawekwa ndani, aliachiliwa baada ya muda, lakini alikuwa amemalizwa kwa kupewa sumu, akiwa jela. Oyugi alikuwa ni mtu mwenye uwezo, baada ya kuachiliwa akiwa kwenye wheel chair, alienda Uingereza kutibiwa, haikuwezekana, organs zake zote zilikuwa zimeharibiwa naye akafariki Uingereza . Hakuna mtu aliyehukumiwa kwa vifo vyote. Hizi ndizo siasa zetu.
 

Alikuwa hapendwi tu na Kabila la Lou, alikuwa akipendwa na wakenya wengi. Alikuwa msataarabu, msomi na sio mbinafisi wa kuiba Mali za umma kama wanasiasa wengine. Ouko amekufa masikini ukilinganisha na wanasiasa wengine wa Kenya waliojirundikizia Mali za wananchi kwa wizi. Alikuwa pia na ujuzi mkubwa wa kuongoza nchi. Alisafiri na Moi kwenda Marekani, wakati huo Bush senior akiwa Rais, na Ouko Waziri wa mambo ya nje. Kila Bush akumuuliza Rais Moi swali, anashindwa kujibu, Ouko anaingilia kati kufafanua. Bush akashangaa na kusema, kwa nini Ouko sio Rais, badala ya Moi, hicho ndicho kilichomua Ouko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…