Nani alimuua Samora Machel?

Nani alimuua Samora Machel?

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
395
Reaction score
455
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani zetu hawa Wamakonde?
 
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani zetu hawa wamakonde?
Events leading to Samora Machel’s plane crash
The crash happened at a time when Mocambique government was in the midst of an armed attack by the National Resistance Movement in Mozambique (RENAMO). RENAMO was a rebel group backed by the South African and Rhodesian government. There was also mounting tension between South Africa, Mozambique and Malawi. The Mozambican Chief of Staff accused the President of Malawi, Hastings Kamuzu Banda, of setting up a base for RENAMO in tis territory and issuing the rebels with travel documents. One month prior to the crash, an angry Mozambican President Machel issued his Malawian counterpart with an ultimatum to stop his support for RENAMO. He threatened to seal off Mozambique's borders with Malawi.

On 7 October 1986, a fter six South African soldiers died in a landmine explosion on the Mocambique border, the SA Minister of Defence, Magnus Malan, threatened the Mozambican leader personally when he said, "He will clash head-on with South Africa." The two countries got embroiled in a bitter verbal exchange. Two weeks before the crash, the South African government accused Machel of having revived his support to the banned African National Congress (ANC) and its guerilla forces.

On 18 October, Carlos Cardosa, Director of the Mocambican News Agency AgÁªncia de Informação de Moçambique (AIM), received an anonymous message informing him that the President (Machel) had died. The message was very bizarre as Machel was preparing to leave for Zambia. On the same day before leaving for Zambia, Machel had convened a meeting with journalists, FRELIMO leaders and military officers. Machel announced that he had received information that the South Africans wanted to eliminate him. He gave instructions to his Cabinet and Party what had to be done if he failed to return.
 
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani zetu hawa Wamakonde?

Ilisemekana kuwa baada ya ndege kuanguka Samora aliuawa bado yuko hai pale chini kwa mujibu wa mlinzi wake.[Huenda aliuawa pamoja na wengine waliokuwa wakingali hai.] Mlinzi wake ambaye naye alinusurika aliondoka mahali pale mara tu baada ya ndege kuanguka kwenda kutafuta msaada.

Habari zilisema askari wa Makaburu walifika hapo muda mfupi baadaye na kummalizia Hayati Samora akiwa amelala majeruhi ardhini. Mwingine aliyenusurika katika ajali hiyo ni rubani wa ndege Mrusi aliyejeruhiwa vibaya sana.

Mtu mmoja maarufu aliyekufa katika ajali hiyo ni Aquino Da Braganca, msomi aliyekuwa mshauri mkuu wa Rais Samora.
 
Wakati ndugu zetu wa Msumbiji wakimkumbuka Mmoja wa viongozi mashuhuri Kamarade Samora Machel, baada ndege aliyopanda pamoja na abiria wengine 34 ilipotunguliwa katika milima ya jimbo la Mpumalanga kuelekea Msumbiji mwaka 1986, je ni nani alihusika na mauaji wa Mwana-Mapinduzi huyu toka jirani zetu hawa Wamakonde?

Samora Machel alikua mrithi wa Edward Mondlane alie kuwa kiongozi wa Frelimo kabala ya kuuliwa Mtaa wa Simu Jijini Dar es salaam. Mondlane aliuawa kwa bomu la Barua.

huyu Mondlane alikua mpinzani wa Ureno lakini hakua Socialist kama Samora na Nyerere na Kaunda.

aliuliwa kwa bomu la barua . Jee wakati huo wareno waliweza ku inflitrate mipaka yetu mpaka kuweza kupitisha bomu na kulipeleka ofisini kwake na barua ile isifunguliwe na secretary bali mwenyewe ?

labda tungeanza huku kwani kifo cha Mondlane kimeacha utata mkubwa na kufichwa fichwa,samora anajulikana ndege yake ilitunguliwa na makaburu..
 
Maafisa wa usalama wa enzi ya ubaguzi wa rangi wa huko Africa Kusini ndiyo walifanya hayo mauaji mwaka 1996.

Marehemu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi.

Bwana Machel aliyeuawa pamoja na abiria wengine 30.

Duh, mkuu pitia tena ulichoandika, ilikuwa 1986 na sio 1996, na Machel alikuwa ni wa Mozambique na alikuwa anapigania uhuru kamili wa Msumbiji kutoka kwa " Mabandidu" RENAMO, waliokuwa na support ya South Africa, Malawi na Rodeasia ya Kusini pamoja na Wareno
 
Samora Machel alikua mrithi wa Edward Mondlane alie kuwa kiongozi wa Frelimo kabala ya kuuliwa Mtaa wa Simu Jijini Dar es salaam. Mondlane aliuawa kwa bomu la Barua.
huyu Mondlane alikua mpinzani wa Ureno lakini hakua Socialist kama Samora na Nyerere na Kaunda.
aliuliwa kwa bomu la barua . Jee wakati huo wareno waliweza ku inflitrate mipaka yetu mpaka kuweza kupitisha bomu na kulipeleka ofisini kwake na barua ile isifunguliwe na secretary bali mwenyewe ?
labda tungeanza huku kwani kifo cha Mondlane kimeacha utata mkubwa na kufichwa fichwa,
samora anajulikana ndege yake ilitunguliwa na makaburu..
Huyu Mondlane ndio huyu aliezikwa hapa Kinondoni?
 
Duh, mkuu pitia tena ulichoandika, ilikuwa 1986 na sio 1996, na Machel alikuwa ni wa Mozambique na alikuwa anapigania uhuru kamili wa Msumbiji kutoka kwa " Mabandidu" RENAMO, waliokuwa na support ya South Africa, Malawi na Rodeasia ya Kusini pamoja na Wareno
Nimechanganya miaka na sijasema hakuwa rais wa Mozambique nimesema waliopanga njama za kumuua ni maafisa usalama wa enzi za ubaguzi wa rangi huko Africa Kusini kama gazeti la Time la South Africa miaka hiyo lilivyoandika jaribu ku-google utakutana na hiyo habari, Somora ndege yao umetuguliwa South Africa sehemu inaitwa Mbuzini, nilichokiandika nakijua mkuu, umenipa maelezo mengi wakati uzi unaliza" Nani alimuua SAMORA MACHEL?" Hapo ndiyo ulitakiwa kujikita kwa maelezo.
 
Huyu Mondlane ndio huyu aliezikwa hapa Kinondoni?
Eduardo Mondlane aliuawa kwa bomu jijini Dar es salaam inasemekana lilitegwa katika kitabu alichotumiwa toka Ujerumani.

Wengine wanasema Mondlane aliuawa na PIDE, idara ya ujasusi ya Ureno ikiwa na lengo la kudhoofisha harakati za uhuru wa Msumbiji.

Alizikwa makaburi ya Kinondoni, nafasi yake ya uongozi wa FRELIMO ilichukuliwa na Samora Machel.
downloadfile-2.jpeg

Eduardo Mondlane akiwa na Ernesto Che GuevaraDar es salaam mwaka 1966.
 
Maafisa wa usalama wa enzi ya ubaguzi wa rangi wa huko Africa Kusini ndiyo walifanya hayo mauaji mwaka 1986.

Marehemu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi.

Bwana Machel aliyeuawa pamoja na abiria wengine 30.
Kumbe wakati mwingine unajuajua mambo ila linapokuja ccm unajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom