Ingawa umenikuote vibaya na kwajina la mtu mwingine but nimekusoma.
All in all ni kua, wakati wa utawala wa Mwalimu mambo mengi yalikua ni kwa usiri mkubwa sana, kuliku na military coups kadhaa but nyingi ziliwekwa kwapani na pia kulikua na mapigano or mfarakano/kutoelewana kwa makundi ya wapiganaji wao kwa wao or ushindani kati ya ANC/PAC pia ZANU/ZAPU.
Ukumbuke tu, Nyerere as well as Ronald Regan were chanzo cha Chunya massacre, watu wengi hawajui hili, na mambo mengi sana nnchi hii imefanya huko nyuma sio watanzania tu but waafrica kwa ujumla.
Chunya massacre na kuhusika moja kwa moja kwa Nyerere na Ronald Regan.
Chunya, Mbeya once saved as the Military base of APLA " Azania People Liberation Army, it was as well known as Poqo, a military wing of PAC "Pan African Congress of Azania" a South African political party based in Tanzania. PAC was under the chairmanship of Robert Sobukwe before his arrest, the chairmanship of PAC was taken over by Potlako Lebalo na mkuu wake wa majeshi then was Tlempton Dandala, ambaye alitaka kumpindua back then but mapindizi hayo yalizimwa dar es salaam na usalama wa Taifa.
Baada ya muda, policy za PAC hazikua nzuri hii ilisababisha kukosa udhamini hivyo change ya leadership was lazima na Nyerere, the king-maker na mwenzie Ronald Regan walimtaka DAVID SIBEKO another South African intellect kuchukua mikoba ya Potlako Lebalo. they staged a coup wakati Lebalo akiwa Uingereza. Things went very wrong wakati the APLA commander Vusi Umuzi Make and his asst. Elias Ntoeledibe walipomwendea Sibeko Oysterbay, Dar es salaam, baada ya mabishano Sibeko alitwangwa risasi kadhaa akafa but PAC military wing iligawanyika into two teams, team Sibeko and Team Lebalo ndani ya Chunya mbeya na mapigani ya silaha za moto yalianza, watu zaidi ya 40+ walikufa but mpaka leo hakuna taarifa ya ukweli juu ya idadi kamili ya watu waliokufa. Ilibidi JTWZ liingilie kutuliza team zote na watu kibao walikufa, then waliwekwa kizuizini. Hili nalo wako kimya.
Nyerere, mzee wa venture. RIP!