Nani alimuua Samora Machel?

Mie naamini Makaburu ndiyo walimuua Samora.

 
Na tuliwabeba haswa. ..MAULANA akumbuke sadaka zetu za nchi yetu. ..zaburi ya 20
 
Aisee mimi huwa napenda kununua vitabu vya kihistoria ili kujua siasa na mambo mbalimbali ya dunia yanavyokwenda; Kwa sasa nasoma hivi vinne hapa chini;
1. Why Africa is Poor and what Africans can do about it - Greg Mills
2. Regional Integration: East African Experience - Msuya Waldi Mangachi (kada)
3. Good Morning Mr. Mandela -
Zelda la Grange
4. Mossad - The Greatest Missions of Israel Secret Service : Michael Bar Zohar & Nissim Mishal.

Humo ndani napata maarifa na kuweza kung'amua mambo mbalimbali, kuliko kwenda kushangilia mpira wa ulaya kwenye Vibanda umiza.
 
Maafisa wa usalama wa enzi ya ubaguzi wa rangi wa huko Africa Kusini ndiyo walifanya hayo mauaji mwaka 1986.

Marehemu alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi.

Bwana Machel aliyeuawa pamoja na abiria wengine 30.
Vipi kolimba ccm doooo.


swissme
 
Mpira n muhimu pia mkuu
 
Umeamsha popo mkuu, subiri wanakuja.
Cc: faiza foxy
 
Vijana jueni historia ya bara lenu. Mpira wa ulaya hautakupeleka popote Kijana. ONa wazungu walivyo wajanja wamewateka na mpira (mnapoteza muda huko) sasa wamewaletea na betting na hela mnawapelekea.
 
Kitu ambacho sidhani kama ni kweli ni kumuhusisha Nyerere kwenye mambo ambayo yalikuwa yanaendelea ndani kwa ndani ya vyama vya ukombozi. Makaburu walikuwa n.a. uwezo mkubwa n.a. walipenyeza watu wao kuvuruga mambo. Ukweli hauwezi kufunikwa mablangeti..Nyerere alijitahidi sana kuona watu wote wa Africa wanakuwa huru
 
Mtoto wa Fr. Augustine unatupiga sound. Francis De Sales iko Kihonda sio Mazimbu
 
Ila wazee wetu walikuwa wanachagua vitu/maua ya maana aisee. Sio sisi tuna mbwelambwela, sijui ndo pombe hizi tunazokunywa zinatutoa ufahamu?
 
Mkuu una history ambayo tunaweza kimbia nchi
 
Kumbe kale kababu ketu kalikuwA hatarI sanA nA kalikuwA ni kagudi planna kwenye haya mambo.
 
Mkuu hizi habari nondo huwa mnazipataga wapi halafu inaonekana hii nchi ina story nyingi sana juu ya majirani zetu bt school hatufundishwi zaidi ya majimaji war.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…