Nani alimuua Samora Machel?


Nyerere! Look! Uhuru hailetwi tu kama bidhaa. Nyerere ndie aliyeratibu mapinduzi ya Seychelles miaka ya 70 na kumuweka msoshalist mwenzake Robert Rene na kumuondoa mafarakani Mancham. Unajua mapinduzi yale wangapi walikufa?

Pia kulikua na jaribio la kumyoa Robert Rene miaka ya sabini wakati baadhi ya wanajeshi watanzania walikua wamesha ondeka but wachache walikuwepo na waliweza zima mapinduzi yale na wanajeshi kibao walipelekwa usiku huhuo Seychelles, victoria.

Miaka ya 80 walijaribu tena walishindwa baada ya mapigano makali kati ya makabiru na cia kuchemsha dhidi ya majeshi ya Tanzania.

Mpaka leo idadi ya wanajeshi waliokufa or kujeruhuwa Seychelles haijulikani.
 
CHE, ndio alikua kiboko ya wadhalimu duniani (Mungu amrehemu) mwanamapinduzi aliechukukia ukandamizaji iwe Africa, America Asia , yaani dunia nzima!!!
 
Machel alikuwa rais wa Msumbiji huru,RENAMO kilikuwa kikundi cha waasi cha bwana Alfonso D'lakhama.Siku hizi Ni chama cha upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A true warrior, a courageous leader, a hero and a fighter who knew his enemies are plotting his death but still chose to continue with his schedule to fulfill his duty.

Few people are matching Machel's courage, Che Guevara is one of them.
Rest in eternal peace The Late Field martial Samora Michel.
You will always stay in our heart comrade!
 
Hivi majarida au vitabu vya hizi historia ninayapata wapi? Ila taifa la Tanzania tuna historia ilioshiba sana barani mwetu.
 
Mkataba wa NKOMATI ndiyo uliommaliza Samora Machel, kwa sababu alikuwa ndumila kuwili ghafla! Nyerere na Mimi tulimwambia asiwaze wala kuthubutu kutia sign ule Mkataba akasema atatia tu hakuna Shaka ndiyo yakamkuta.

Mkataba ule ulikuwa ni makubaliano ya Pande mbili zisiunge Mkono Waasi wa nchi zao mfano Frelimo isiunge mkono ANC, na Makaburu wasiunge mkono RENAMO, lkn baadaye ikaonekana ANC wanazidisha Mashambulizi kutokea Msumbiji.

Kaburu akaona amalize kabisa mzizi wa Fitina, Mazungu wao mpaka leo yanaangalia karatasi za makubaliano zinasemaje. ndiyo maana Germany wanadai Tanganyika yao! kwa sababu Tanzania haiko kwenye Hati za umiliki wa Tanzania, zilizoko Vatican hazijaandikwa neno Tanzania, na Makubaliano ya Berlin haimo. hata Germany akidai leo watamuuliza nchi gani?

Vizanzibar vinapewa hela ya urojo, ili vikatae Muungano! jina Tanganyika rirejee! subiri muone......
 
Safi sana wakuu. Nimeona nondo za maana. Ki ukweli Afrika tuna historia kubwa. Ila vitabu vya mzungu vinaandika tulikuwa hatujui lolote na wao ndio wametuletea kila kitu. Wakati Misri ya zamani ilitawala Israel miaka kibao. R.I.P Samora Machel
 
Bw.franktemu123 umetema pweinti sisi waswahili hatuthamini vya kwetu mtu anakomaa kusoma mt. everest anasahau kuna oldonyo lengai hapo arusha na hafundishi popote unless awe mdadisi haswaa
Thanks for complement
 
... Mondlane alizikwa Kinondoni? Wekeni picha ya kaburi lake!

Huyu mwamba, Che naye kumbe aliwahi kutia timu Bongo? Duh! Ukisikia harakati ndio ilikuwa enzi hizo! Ukichanganya na mashuja akina Walter Rodney (How Europe Underdeveloped Africa) akiwa profesa pale UDSM kweli "itikadi" ilikuwa imekamilika.

Imagine colabo kama hii iko kwenye kikao (of course cha SIRI) na Chairperson ni His Excellence Mwl. Julius K. Nyerere imagine maamuzi yatakayotoka hapo! Ni nuksi usiombe ujadiliwe kwenye kikao kama hicho.

Anyway, kinachotia hasira zaidi ile mizee (of course by then vijana) iliyopikwa ikapikika enzi zile ndio ilikuja kutuingiza chaka kama taifa!
 
Sanaa. Mandela akaamua kujivutia
Sio huyu, Josina alifariki ktk hospital ya Muhimbili. Mke wa Machel aliyeolewa na Mandela anaitwa Graça Machel,yuko Maputo kwa raha zake
Nalog off
 
Hii ndiyo nyumba aliyekuwa akiishi mondlane dsm
Na ndipo akipokufia, Iko karibu na Beach Che alishatia Timu hapo kimya kimya

Ova
View attachment 1459733

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…