Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Ni kitambo kidogo tokea mwanamama huyu alipohama fani ya bongo fleva kwenda muziki wa injili na sasa kurudi tena bongo fleva,kitu ambacho sikumwelewa ni pale kwenye kipindi cha leo tena-clouds wiki iliyopitakudai kwamba ameamua kurudi tena bongo fleva ili kujitafutia riziki,kwani mara ya kwnza alipokuwa anaenda kule gospel lidhani yale maneno ya kula madhabahuni yanawahusu hata waimbaji kumbe ni wachungaji hata alipoambiwa kwamba mbona kuna wengi waliofanikiwa kwenye injili bado alidai eti hakuna maslahi yale aliyotegemea na kule hakuna mshikamano kati ya waimbaji akimaanisha wale walio juu,sasa ambacho mimi sikumwelewaje aliokoka au alifuata maslahi?au mi ndo sikumuelewa?mana bado anadai japo karudi bonbo fleva eti ila bado kaokoka!