Nani alimwelewa stara thomas?

Nani alimwelewa stara thomas?

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Ni kitambo kidogo tokea mwanamama huyu alipohama fani ya bongo fleva kwenda muziki wa injili na sasa kurudi tena bongo fleva,kitu ambacho sikumwelewa ni pale kwenye kipindi cha leo tena-clouds wiki iliyopitakudai kwamba ameamua kurudi tena bongo fleva ili kujitafutia riziki,kwani mara ya kwnza alipokuwa anaenda kule gospel lidhani yale maneno ya kula madhabahuni yanawahusu hata waimbaji kumbe ni wachungaji hata alipoambiwa kwamba mbona kuna wengi waliofanikiwa kwenye injili bado alidai eti hakuna maslahi yale aliyotegemea na kule hakuna mshikamano kati ya waimbaji akimaanisha wale walio juu,sasa ambacho mimi sikumwelewaje aliokoka au alifuata maslahi?au mi ndo sikumuelewa?mana bado anadai japo karudi bonbo fleva eti ila bado kaokoka!
 
Kajichanganya ... kumwimbia Mungu ni kipaji ni karama na c maslahi
 
Alipoingia kwenye muziki wa Injili hakuchukua muda akaanza kuonyesha rangi zake halisi baada ya kutaka kuwagombanisha Christina Shusho na Upendo Nkone na mashabiki wao. Wokovu unahitaji upate neema ya Mungu
 
Aondoe maunene yake hapa, akapunguze mwili kwanza ndo aje ubongo wa fuleva. Manyama uzembe co dili
 
Hamjui Mungu anayemwimbia, Mungu sio Maskini, huyo dada mnafiki tu ...... Tupa kule.
 
alifata pesa uko zikakosa. sasa karud kwenye mambo ya dunia mkumbuke pesa ndio ilifanya yuda amsaliti yesu
 
alifata pesa uko zikakosa. sasa karud kwenye mambo ya dunia mkumbuke pesa ndio ilifanya yuda amsaliti yesu

yaani alijichanganya sana angebaki tu bongo fleva huenda angefika mbali!
 
Ni vigumu ku2mikia mabwana wawili.king kong ¡¡¡ kweli kabisa utampenda mmoja zaidi
 
Ni vigumu ku2mikia mabwana wawili.
yeye anadai eti atakuwa anaimba huku na kule eti mfano akiitwa mkoani kwenye huduma ya bwana angalau chakula na pa kulala pawepo hatakuwa na shida,anamtuikia MUNGU ila kwenye BONGO FLEVA NDO PA KUPATATIA kipao cha kuendeshea familia.....kazi kwelikweliiii!
 
Aondoe maunene yake hapa, akapunguze mwili kwanza ndo aje ubongo wa fuleva. Manyama uzembe co dili

wanene huwa hawaimbi,jamani inaonyesha humpendi,yule akitulia ni BONGE la mwanamuziki!
 
alipoingia kwenye muziki wa injili hakuchukua muda akaanza kuonyesha rangi zake halisi baada ya kutaka kuwagombanisha christina shusho na upendo nkone na mashabiki wao. Wokovu unahitaji upate neema ya mungu
aliwagombanisha vip?mana nae christina shusho ni zaidi ya umjuavyo!
 
Hahahaaa...daa!!!usiwe vuguvugu wala moto wewe mama,xtina shusho mwenzio anakarama na kipawa cha mungu atamfikia wapi?usichezee wokovu na imani!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom