Nani alimwelewa stara thomas?

Huyu si ndo nilisikia hakupewa promo kwenye bongo fleva ndo maana hakua juu kama wanawake wenzake.... Afu kaenda kwenye INJILI ajapata tena promo kaamua kurud tena BONGO FLEVA........ INATAKIWA ATAMBUE KATIKA MUZIKI AU KUWA STAA YA KWAMBA ........SIO KILA MTU ANANYOTA YA MCHEZO ndo maana Kila Mwaka mtu kama FID Q apati tuzo sio kwamba hawez ila ananyota ya mchezo hivyo unaweza kuwa na kipaj kizur lakin watu wasikukubali sanaaa
 
tujuze hiyo ya kwenye red
japo kuna mtu kanijibia ila mimi sikuwa huko ni kwamba mama huyo hutoza pesa kubwa sana pindi mwanamziki mchanga akimuomba kushiriki uzinduzi wa nyimbo yake na hata kama ukimbembeleza yeyehushikilia msimamo huohuo kwa mana ya kwamba bwana alisema kale kwa mikono yako,so yupo kibiashara zaidi,nyingine hujiona yupo juu sana,mfano kuna askari mmoja ambaye ni rafiki wa familia aliwai kumkamata kwa makosa madogo ya barabarani akiwa na gali yake,akamjibu wewe askari unamjua unayeongea nae kwanza?askari akamjibu kwamba yeye yupo kazini mambo ya kujuana atamjulia kituoni.nyingine.....kwenye usiku wa matumaini uwanja wa taifa mwaka jana alikacha kuimba uwanjani na kuondoka licha ya gharama alizopewa na waandaajikisa eti kwa nini amewekwa na wasanii wa bongo fleva?amesahau hata hao wasanii ndo wanunuzi wa nyimbo zake na kwa mungu hakuna ubaguzi...ni mengi nimechoka kwa sasa....nampenda ila kwa hayo mambo yake kidogokidogo naanza kumsahau.....
 
I know Shusho very well lakini MUNGU ndiye hakimu.
 
Christina Shusho watu wanajigongea tu huyo. Hajui kukataa dada wa watu.

Zaweza kuwa ni hisia za watu tu na wala hakuna ushahidi

Au lengo lenu ni kuMSHUSHA SHUSHO wa watu.........
 
jamani kama stara manyama uzembe yule sijui mr politician mtamuweka wapi?mwacheni bhana ameachia kitu shamba la matunda eee bwana eeeh!sauti kama kinanda,chezea stara weye!
 

Haya ameyarudia alishayasema tena kwenye amplifaya ya Millard. Ushauri wangu kwa huyu mama ni nzuri akapima kwa kina anachokiongea on air. Mwisho wa siku atajivunjia heshima na kudharaulika sana na kushindwa kufanya biashara hata huko kwenye bongo flavour kinyume na yeye anavyotarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…