Huyu si ndo nilisikia hakupewa promo kwenye bongo fleva ndo maana hakua juu kama wanawake wenzake.... Afu kaenda kwenye INJILI ajapata tena promo kaamua kurud tena BONGO FLEVA........ INATAKIWA ATAMBUE KATIKA MUZIKI AU KUWA STAA YA KWAMBA ........SIO KILA MTU ANANYOTA YA MCHEZO ndo maana Kila Mwaka mtu kama FID Q apati tuzo sio kwamba hawez ila ananyota ya mchezo hivyo unaweza kuwa na kipaj kizur lakin watu wasikukubali sanaaa