Nani alipendeza zaidi?

Hapo huwez kutofautisha sababu mmoja alivaa vazi la cku maalumu ambayo haiwez jirudia na ikijirudia huwa haina mbwembwe na mwingine alivaa kama mshenga tu ...ingekua mond nae alioa ndo ingekua pia kujua aliependeza .
 
Mi nataka tu kujua! hayo majambia kwenye hizo kanzu yana maanisha nini?
 
Huku kuiga tamaduni za wageni bana!!! Zinaboaaa! Kwa nini hawakuvaa ki-Leka dutigite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…