Nani alisema Chris Kope Mugalu atatemwa Simba?

Nani alisema Chris Kope Mugalu atatemwa Simba?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season).

Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu jamaa yupo sana Msimbazi😆😆
FBAF5C16-5DB6-4E82-A54D-23689B954F9E.jpeg
 
Kubakia huyu mwamba pale Simba naanza kuamini kua Simba Safari hii imekata Moto kabisa hasa wa kipesa.
Kubaki na mugalu alafu eti unampa kocha malengo ya nusu fainali club bingwa Kama sio vituko ni nini?

Niamini Mimi hata makundi Kuna uwezekano tusitoboe kabisa.

Yaan Gadiel ,kagele ,mugalu,nyoni,mwenda ,ndo watuvushe nusu fainal , labda club zingine wawe vilema.
 
Tulieni hela zipo za kumlipa mshahara zipo. Mnataka akatishwe mkataba wake akidai fidia mna hela za kumlilpa?
 
Sasa km kweli
Manzoki
Okwaa

Wamesajiriwa itakuaje? Nan anaachwa? Lwanga na kagere tyuuh?
Hebu mnieleweshe
leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , jamani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovu
 
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season).

Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu jamaa yupo sana Msimbazi😆😆View attachment 2290627

Asipojirekebisha akaendelea na dharau zake, atupiwe chupa za maji uwanjani ili akili zimkae. Mimi nadhani kocha aweke msisitizo kwa Kiyombo na phiri kwenye ushambliaji, lakini Mugalu hapana.
 
Huyu angekuwa mtanzania angetemwa pale simba ila itoshe tu kusema najipa likizo la mda hadi mugalu atoke simba ndipo nitakuwa mnyama tena. Unyama mwingi sana Kope na ataniua kwa shinilizo

Nlifanya hivyo kwa Arsene Wenger na Arsenal yake.

Hili Jambo litapunguza morali kwa mashabiki. Mtu analipwa dola 5000 kwa mwezi lakini uwanjani hamna kitu. Mnakumbatia wa Nini? Kweli Simba haina Viongozi .
 
Ndio maana Yanga walituzidi msimu uliopita baada ya kufanya maamuzi magumu na kutema wachezaji wengi.sisi Simba uoga mwingi. Kumuacha boko Ni issue sio mchezo.

Tulieni hela zipo za kumlipa mshahara zipo. Mnataka akatishwe mkataba wake akidai fidia mna hela za kumlilpa?
 
leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , ajmani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovu

Sasa hivi Viongozi wamejificha, wanamtumia hemed Ali kupoteza mashabiki. Mnaacha kumsajili akwa na Manzoki mnabaki na boko, Mugalu na Kagere, nyoni, mzamiru etc
 
Mugalu mitano tena

Msimu wa mwisho. Akiondoka huyo ndio Simba itaanza kuchukua ubingwa. As long as Mugalu yupo Simba haifiki kokote. Kumbuka huyu ndio aliwanyima Simba nafasi ya nusuy fainali kwa kucheza vibaya.
 
Back
Top Bottom