Mnyama kama mnyamaChris Mugalu "The Animal"
tatizo soka letu wachezaji wanasajiliwa kwa mihemko na sio kwa mahitaji ya kocha.Sasa km kweli
Manzoki
Okwaa
Wamesajiriwa itakuaje? Nan anaachwa? Lwanga na kagere tyuuh?
Hebu mnieleweshe
Una uhakika Kagere anaachwa? Hukumuona na yeye akikwekea ✈️Sasa km kweli
Manzoki
Okwaa
Wamesajiriwa itakuaje? Nan anaachwa? Lwanga na kagere tyuuh?
Hebu mnieleweshe
leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , jamani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovuSasa km kweli
Manzoki
Okwaa
Wamesajiriwa itakuaje? Nan anaachwa? Lwanga na kagere tyuuh?
Hebu mnieleweshe
Jamaa ni mmoja ya wachezaji waliokwea pipa leo kwenda Misri na kikosi cha Simba kwa ajili ya maandalizi ya Msimu ujao (Pre Season).
Wale wote mliokuwa mnasema jamaa atatemwa, itoshe kusema tu jamaa yupo sana Msimbazi😆😆View attachment 2290627
Huyu angekuwa mtanzania angetemwa pale simba ila itoshe tu kusema najipa likizo la mda hadi mugalu atoke simba ndipo nitakuwa mnyama tena. Unyama mwingi sana Kope na ataniua kwa shinilizo
Nlifanya hivyo kwa Arsene Wenger na Arsenal yake.
Tulieni hela zipo za kumlipa mshahara zipo. Mnataka akatishwe mkataba wake akidai fidia mna hela za kumlilpa?
leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , ajmani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovu
Mugalu mitano tena