Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Nimeuliza sababu kwa kikosi kilichopo tayari wachezaji wa kigeni wametimia. Ko km manzoki na okwaa wamesajiriwa, inatakiwa wawili wa kigeni wawe out.tatizo soka letu wachezaji wanasajiliwa kwa mihemko na sio kwa mahitaji ya kocha.
Ndo maan nimeulizaa ili nieleweshwee.Una uhakika Kagere anaachwa? Hukumuona na yeye akikwekea [emoji3575]
Kwa kikosi kilichopo tayari kwa wageni kimetimia, sasa Manzoki na okwaa wakiingiaa nan wanatoka, ndo hapo penye utata.leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , jamani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovu
🤣🤣🤣Mugalu mitano tena
Yaani huyu jamaa hayuko serious kabisa unacheza rafu ya kipuuz namna ile na unajua ule ni mchezo muhimu na mbaya Zaid unajua upo ugenini ,dah jamaa alitunyima nusu fainal ya Waz Waz maana wale jamaa tulikua tunadraw nao kabisa na kutoka na aggr ya 0-1.Msimu wa mwisho. Akiondoka huyo ndio Simba itaanza kuchukua ubingwa. As long as Mugalu yupo Simba haifiki kokote. Kumbuka huyu ndio aliwanyima Simba nafasi ya nusuy fainali kwa kucheza vibaya.
Ondoeni wasiwasi kuna Moses phiri ni mfungaji, Okrah nae pia ana uwezo wa kufunga, Sakho na chama pia wana uwezo wa kufunga asa uoga wa nini?Sasa hivi Viongozi wamejificha, wanamtumia hemed Ali kupoteza mashabiki. Mnaacha kumsajili akwa na Manzoki mnabaki na boko, Mugalu na Kagere, nyoni, mzamiru etc
bado tutakuwa tunategemea hekaheka za wachezaji wa pembeni yaani serious kabisa imeshindikana kupata washambuliaji wa kati wanaojua majukumu yao..kagere tumsamehe keshachoka ila mugalu jamani, aghOndoeni wasiwasi kuna Moses phiri ni mfungaji, Okrah nae pia ana uwezo wa kufunga, Sakho na chama pia wana uwezo wa kufunga asa uoga wa nini?
Moses Phiri, Manzoki shida yako nini?Kubakia huyu mwamba pale Simba naanza kuamini kua Simba Safari hii imekata Moto kabisa hasa wa kipesa.
Kubaki na mugalu alafu eti unampa kocha malengo ya nusu fainali club bingwa Kama sio vituko ni nini?
Niamini Mimi hata makundi Kuna uwezekano tusitoboe kabisa.
Yaan Gadiel ,kagele ,mugalu,nyoni,mwenda ,ndo watuvushe nusu fainal , labda club zingine wawe vilema.
Kwani wamemaliza usajili?leo nimeacha kusikiliza propaganda za Ahmed Ally rasmi kuhusu usajili baada ya kuona ule msafara , jamani hadi kero aiseee....kabaki beki mmoja tu wanafunga usajili na ile foward line butu maskini ya Mungu wanaenda kumuangushia kocha wa watu jumba bovu
Washabiki Wana machungu na mugalu, lakini wawe wapole, mambo mazuri yanakuja.Ondoeni wasiwasi kuna Moses phiri ni mfungaji, Okrah nae pia ana uwezo wa kufunga, Sakho na chama pia wana uwezo wa kufunga asa uoga wa nini?
Vumilia mkuu sema kwa Arsenal ndio atriiHuyu angekuwa mtanzania angetemwa pale simba ila itoshe tu kusema najipa likizo la mda hadi mugalu atoke simba ndipo nitakuwa mnyama tena. Unyama mwingi sana Kope na ataniua kwa shinilizo
Nlifanya hivyo kwa Arsene Wenger na Arsenal yake.