Akiwa mmoja sawa , wote hawa? Very intimidating , nagopa kuangukiwaTufanye nini wakati wanaume wanatuacha nyumbani, mfariji wetu ni JF.
Hapo si unaona tumetoka wenyewe wanaume wanajitolea ku baby sit 😂
Saa ya kulala sasaAkiwa mmoja sawa , wote hawa? Very intimidating , nagopa kuangukiwa
U ekosea spelling nini, Kama kuoa sijaoa, lakini kama nimeona kwa mbali , ni kweli saa ya kulalaMkuu umeoa za mbali
Na log off na chupa nzima ya jack daniel kichwani, keshoYaa nilikosea lakini nilifika kule ulikokuwa wewe 😂
Kitu nawapendea hamjui kuchepukaTufanye nini wakati wanaume wanatuacha nyumbani, mfariji wetu ni JF.
Hapo si unaona tumetoka wenyewe wanaume wanajitolea ku baby sit [emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106]Ndio maana huwezi kusikia ugomvi familia ambayo mama ni mnene kama hao hapo.Starehe yetu wengi ni chakula, tukisha pika na kula tuna watch tamthilia [emoji23]
Dah...Mara nyingi mwanamke hachepuki...anachepushwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu nawapendea hamjui kuchepuka
Sky nimekuona hapo mwisho wa clip ukiwa umevaa tight na kitenge kwa juuu. Aiseee unavuta tela matata kwa Nyuma. We lizeee Asprin achia njia bhanaaaSisi tuna enjoy shida iko kwenu.