Nani alisema masanamu ya Michelin hatu enjoy life?

Nani alisema masanamu ya Michelin hatu enjoy life?

Tufanye nini wakati wanaume wanatuacha nyumbani, mfariji wetu ni JF.

Hapo si unaona tumetoka wenyewe wanaume wanajitolea ku baby sit 😂
Akiwa mmoja sawa , wote hawa? Very intimidating , nagopa kuangukiwa
 
Starehe yetu wengi ni chakula, tukisha pika na kula tuna watch tamthilia [emoji23]
[emoji106][emoji106][emoji106]Ndio maana huwezi kusikia ugomvi familia ambayo mama ni mnene kama hao hapo.
Alafu mnakuwaga na amani sana, tena lifestyle yenu kila mwanaume anatamani mkewe awe nayo
 
Dah...tukiweka unafki pembeni...ili kiumbe alike kwa wepesi na Uhuru zaidi....max ni 60kg [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom