Nani alishagonga afande humu?

Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Kuna Mmoja nilipiga nikamuacha visa vyake sasa....Siku moja akatoroka lindo akanojia na machine ananiambia kwa nini unaniacha???? Nakumiminia karanga sasa..Niliomba msamaha..Pona yangu ilikua ni kuhama mkoa..Naskia kuna jamaa Mkurya kamuoa na sasa wana Mtoto!!
 
Mbona Wao wanatugongea mademu zetu mtaani afu sisi tumetulia tu...We endeleza gemu mpaka washike adabu
 
Nilkula dem wp wa rpc wa kilimanjaro ambaye huyo rpc sasa ame rip ( dokta ,,,,,,,,,,,,,,,,)
alinimaindi sana,akanitishia kunifukuza kazi,ilibidi nimpe posho nzima kamanda.
Ila lile toto lilikua tamu,matoto ya kinyiramba meupeee,chura kama wote mamaeeee
cha ajabu yule wp kwa sasa yupo makao,tena ana kisoda kimoja..
 
Hatar fire Mzee g,h.f au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo ni kosa la jinai....maana yake unakuwa unaigonga nchi nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unankumbusha nina mshikaj wangu mmoja aliwah kuwa na dem km huyo akawa wakat wa kupiga vyombo anamwambia asivue uniform agegede nazo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…