BwanaMiti
Member
- Jul 4, 2014
- 92
- 87
Kuna Mmoja nilipiga nikamuacha visa vyake sasa....Siku moja akatoroka lindo akanojia na machine ananiambia kwa nini unaniacha???? Nakumiminia karanga sasa..Niliomba msamaha..Pona yangu ilikua ni kuhama mkoa..Naskia kuna jamaa Mkurya kamuoa na sasa wana Mtoto!!Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.