Nani alishagonga afande humu?

Tatizo la mleta uzi na wachangiji wengi ni kudhani ukigonga afande basi umegonga sare, magwanda, jeshi zima mpaka kiongozi wao.

Wrong Mentality. Yule ni BintAdam tu kama wengine.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa fantasy kama vile wapo wanaitamani kutembea na watawa, wanafunzi, wake za watu, wageni, n.k.
 
Hii inaitwa fantasy kama vile wapo wanaitamani kutembea na watawa, wanafunzi, wake za watu, wageni, n.k.
Ongezea parking girls, supermarket girls, bank tellers na wale agents wa marketing. Raha iko pale kwenye transformation from a strictly business encounter to a romantic one. Na kila moja ni unique, so you will always want to meet a new one!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!duh.
 
Wote mriochangia mada hii niwakute central kesho asubuhi mtoe maerezo mritoa wapi mamraka ya kuchezea crown za majeshi yetu.....
 
Afande kitu gani mimi mgambo tena yule analinda mochwari... Halafu kiliwakia kwenye kile kitanda cha kuchunguzia maiti [emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Mgambo? Sasa Mimi nilikiwasha na sungusungu tena wa bushi huko .nilikuwa najizurulia zangu polini nikawakuta nikajibebea mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…