Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,226
Mamaaaa NakufaaaWengi wameunganishwa kwenye grid ya Taifa, kama umekwenda peku peku wafwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
in pierre Liquid's voice
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaaaa NakufaaaWengi wameunganishwa kwenye grid ya Taifa, kama umekwenda peku peku wafwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
True mkuu,alaf wengi wako natural,gauga haijatumika sana,sio wazinguaji kiivyo,lazima atajiheshimu hata kama hapendi ila kazi itambana,mostly mentality yao haijakaa kudangaUmeonaeh? Kuna madini ya ukweli!
Sijawahi ona ila warabu wapo wengi sana.Hv kuna polisi wahindi tz?
Yaani bila kwere! Kaanza na sms ya 'tafadhali nipigie'. Mengine yakajipa mumo kwa mumo.Ulivyompa business card yako alianza kukutafuta wewe?
Hii imekaa vizuri hadi basi!Mie pia nilimdinya trafiki alinikamata nikagoma kumlipa akang'ang'ania leseni nikamwachia nikasepa ila nilimshika sura na jina wenzake walikuwa wanamwita kesho yake nikaenda kituoni wakanipa namba yake ya simu nilipompigia akaniambia yuko kwenye kikao cha harusi nimfuate nikamkuta anagonga kitu cha bierre liquid nikamwongezea akanirudishia leseni bila faini baadae akawa akitaka kunywa ananipigia tukaenda nae mpk nikapiga alikuwa na pajaz balaa. Nilimla sana ila baadae alihamishiwa Moro
Hilo hata mi nathibitisha, sio wadangaji.True mkuu,alaf wengi wako natural,gauga haijatumika sana,sio wazinguaji kiivyo,lazima atajiheshimu hata kama hapendi ila kazi itambana,mostly mentality yao haijakaa kudanga
Sent using Brain
Kugonga? Wengine tumeoa kabisa, wanalala nao na kuamka naoKatika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
Kaka hiyo ni tofauti. Hapa nazungumzia ile ya kupozana matamanio kiroho safi
Mimi nilimgonga mjeda na gari ya dingi, nikatoka mbio sasa pale nilipomgonga yule mjeda kumbe wananijua. Ilikuja rover nzima ya wajeda mzee kutoka namsikia yule mkuu wao aahh kumbe mzee wetu bwana. Mzee akasema mwanangu ndie alie mgonga lakini akatoa hela hao wakaondoka. Ila yule mjeda alialikwa weekend kula home. Akawa rafiki yangu sana. Lakini siku niliomgonga yule mwela mwenye pikipiki la polisi niliishia sero masaa 12 kudadeki
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nimeshamjua huyoKatika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.