Nani alitaka kuja kuniona jana?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Vipi,mbona hakufika?
Kama anataka kuja,anakaribishwa.
Niliweka namba yangu jana,0652 079 561.
There is no problem.
Anaweza kuja.
Yaani pale niliposema Lissu yuko mahututi hospitali,yupo mtu mmoja alisema anataka kuja nyumbani kunisalimu.
Na sijui inakuwaje kuhusu Lissu watu wanamtania, wanasema anaumwa.
 
Aiseee! πŸ€”
 
Dah! Mkuu mirembe inakuita.
 
Uzi tayari!JF Ina watu na vituko.
 
 
Pole baba angu unapitia wakati mgumu..na uzee nao unachangia..ukijumlisha na stress daaah ...
 
Naona Lissu yuko Europe katika Ofisi za Umoja wa Ulaya.
Hii mikutano very dangerous,wanakutana in a secret room halafu wanamsema Mama Samia.
 
Guys Afya ya akili imekua tatizo sana nchi hii sababu ya ugumu wa maisha! Inasikitisha sana

CCM wajitafakari aisee
 
Guys Afya ya akili imekua tatizo sana nchi hii sababu ya ugumu wa maisha! Inasikitisha sana

CCM wajitafakari aisee
Au wanaokwenda State Department,wanakutana katika sound- proof room.
 
Wakienda kule wanaongea kuhusu "sordid details",their favorite word.
 
Mkuu, wenzako walikuja ila sema tu machale yalikucheza ukawahi kuondoka nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…