Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Vyura wameenda kuogelea kigamboni,maji yamekauka jangwani,hiyo ndo maana halisi ya vyuraMshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo [emoji23]
Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Vyura na maji ni kama mfuniko na pipa ,wametoka madimbwi ya jangwani wameenda kigamboni kwenye swimming pool na waandishi wa habari ,wamepiga hatuaNi shukrani kwa media kwa mchango wao wa propaganda dhidi ya simba
Sasa vyura unataka wafanye nini zaidi ya kuogelea ?Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani....
Watafika waliko Simba tusiwabeze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].....uto wanapenda kuiga, ila kama ni kweli wamefanya hivi ni kudhalilisha football
Akihojiwa na wanahabari Senzo alisikika akisema huenda kukawa na 'Mwananchi tournament ' ni jambo la kusubiri huko mbeleni
Haya Magalasa Yamepoteza Dira
Mshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo [emoji23]
Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Ni mawazo ya Senzo ili nayeye aonekane Mbunifu