Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Nani aliwashauri Yanga kufanya Wananchi Media Day?

Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.

Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi wa Yanga wakaamua watoke mafichoni wakaja na Mwananchi media day! Yaani ilikuwa vituko kabisaa, Yanga wanapenda watrend kama wenzao Simba, ila wanakwama kwenye kufanya kitu ambacho kina mvuto!

Yaani media day unaenda kuonesha watu wakiogelea??[emoji23][emoji23][emoji23] badilikeni ndio maana mnaitwa Utopolo!!
View attachment 1692773
Mbna kwenye hiyo post liked by...
Mmefuta au kalike Manara
 
Ni ubunifu tu wa yule jamaa senzo kama sijapoteza kumbukumbu alivyofika simba aliwekeza pia kwenye inshu ya mitandao ya kijamii.
Akaenda yanga pale kakuta mitandao ya kijamii inahali mbaya ila mpaka sasa kainua kwa kiasi na kuna mwelekeo chanya hivyo mimi binafsi namuheshimu senzo anaujuzi kiasi chake.

Hichi walichofanya yanga ni kama kupanda mbegu aridhini hivyo matunda yake yataonekana mara baada ya muda.
 
sasa kaita watu wakaangalie nini maana ktk vigu vyote vilivyopo kule vinavyomilikiwa na uto ni madera na kalenda tu
 
Mshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo [emoji23]

Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Wacheni ngenga,FIFA kimenuka huko mumefungiwa kusajili misimu mitatu kudadadeq
 
Nasikia walitaka kuzima hii kiki
JamiiForums-1629640740.jpg
 
Sijaona ubaya wowote kwa walichofanya Yanga....wala sijaona cha kuniumiza kichwa pale Yanga zaidi ya huyo Kisinda.... let's talk football tuachane na siasa uchwara za kuponda hata mafanikio yaonekanayo kwa wenzetu,kama ni mazuri si mbaya hata kuyaiga.
 
Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.

Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi wa Yanga wakaamua watoke mafichoni wakaja na Mwananchi media day! Yaani ilikuwa vituko kabisaa, Yanga wanapenda watrend kama wenzao Simba, ila wanakwama kwenye kufanya kitu ambacho kina mvuto!

Yaani media day unaenda kuonesha watu wakiogelea??[emoji23][emoji23][emoji23] badilikeni ndio maana mnaitwa Utopolo!!
View attachment 1692773
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo 😂

Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Poleni
 
Kilichonichekesha ni kimoja tu. Wamealika wanahabari kuonyesha kambi ambayo sio yao. Ingeleta maana baada ya uwekezaji wa mradi wangeleta waandishi kuionyesha dunia mafanikio ya klabu baada ya uwekezaji wa kambi, hostel, gym mabwawa ya kuogelelea nk.

Sasa mradi/uwekezaji wa AVIC kelele wanapiga Yanga wakati ni yaleyale ya miaka 50 iliyopita kulipia viwanja vya mazoezi, hotel (kambi). Kweli uto ni uto tu
 
Yanga ni wazee wa copy na paste.

-- simba ilimchukuwa mchezaji wao miaka ya 90 omar Hussein kelvin Keegan.
Nao wakamchukuwa zamoyoni mogella..wachezaji wa kwanza kuvunja mwiko yanga kwenda simba na wa simba kwenda yanga..

-- simba ndy timu ya kwanza kuvaa jezi na viatu nchini,,
Nao wakaokoteza matambaa wakaanza kuvaa jezi..na viatu tena safari buti..

-- simba ilijenga jengo la makao makuu pale msimbazi.
Na wao wakawalamba miguu viongozi wa wakati huo wakapewa hilo jengo kwa msaada wa Mke wa Abed Karume.

-- simba ilinunuwa uwanja bunju.
Na wao wakalialia wakapewa eneo kigamboni na serikali.

-- simba ilianzisha simba day.
Wao wakaja na wanainchi day.

-- simba ilianzisha Simba tv .
Na wao wakaja na yanga tv..

-- simba ilianzisha msemaji wa timu manara.
Na wao wakaja na muro.

-- simba ikileta kocha mgeni .
Na wao wanaleta mgeni.,

--- simba ikifukuza kocha na hao hawakawii kufukuza..

-- simba imekuja na CEO wa timu.
wao wakaaenda mbali zaidi,,wakaamua kusajili kabisa CEO senzo..

--simba wamekuja na simba cup .
Wao wamekuja na yanga media day..

Nawakumbusha tu kwamba media day ni mambo ya habari na sio mashindano wala kuonyesha mazoezi ya timu,,

Pengine wangebadilisha hyo media day na kuiita yanga show off day.

Ingependeza zaidi..
 
Back
Top Bottom