Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Haya nadhani hii media day itawaletea hamasa na kuona quality ya kikosi chenu kujiandaa na mashindanoNa hawa je?View attachment 1692902
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nadhani hii media day itawaletea hamasa na kuona quality ya kikosi chenu kujiandaa na mashindanoNa hawa je?View attachment 1692902
Mbna kwenye hiyo post liked by...Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.
Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi wa Yanga wakaamua watoke mafichoni wakaja na Mwananchi media day! Yaani ilikuwa vituko kabisaa, Yanga wanapenda watrend kama wenzao Simba, ila wanakwama kwenye kufanya kitu ambacho kina mvuto!
Yaani media day unaenda kuonesha watu wakiogelea??[emoji23][emoji23][emoji23] badilikeni ndio maana mnaitwa Utopolo!!
View attachment 1692773
Toka lini mtu ana aim kutoka juu kwnda chini?Watafika waliko Simba tusiwabeze
sasa kaita watu wakaangalie nini maana ktk vigu vyote vilivyopo kule vinavyomilikiwa na uto ni madera na kalenda tuNi ubunifu tu wa yule jamaa senzo kama sijapoteza kumbukumbu alivyofika simba aliwekeza pia kwenye inshu ya mitandao ya kijamii.
Akaenda yanga pale kakuta mitandao ya kijamii inahali mbaya ila mpaka sasa kainua kwa kiasi na kuna mwelekeo chanya hivyo mimi binafsi namuheshimu senzo anaujuzi kiasi chake.
Hichi walichofanya yanga ni kama kupanda mbegu aridhini hivyo matunda yake yataonekana mara baada ya muda.
Wacheni ngenga,FIFA kimenuka huko mumefungiwa kusajili misimu mitatu kudadadeqMshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo [emoji23]
Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Hiyo jina la utelembwe halinogi hata ,jina tamu ni utopolo jina mlilochagua wenyeweKinacgokutesa nini utelembwe? Kojoa lala, wakubwa huwawezi na uwezi kuwaelewa maana umekalia majungu na umbeya tu kwa mambo ambayo siyo size yako, utavalishwa kanga tulia na usutwe, shauri yako
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.
Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi wa Yanga wakaamua watoke mafichoni wakaja na Mwananchi media day! Yaani ilikuwa vituko kabisaa, Yanga wanapenda watrend kama wenzao Simba, ila wanakwama kwenye kufanya kitu ambacho kina mvuto!
Yaani media day unaenda kuonesha watu wakiogelea??[emoji23][emoji23][emoji23] badilikeni ndio maana mnaitwa Utopolo!!
View attachment 1692773
Bunju haalikwi mtu. Simba ndio habari ya mjini. Hutaki habari za mnyama gazeti lako kafungie maandaziWaiten Wana habar wapeleken porini Bunju
PoleniMshamba mmoja wewe usiejua mazoezi ya kuogelea pia yanasaidia kwenye pumzi na Stamina kidogo 😂
Na kwa taarifa yako lengo la Mwananchi media day sio hilo, ni lingine hicho ni kionjo tu
Pole mkia fcPoleni
Lete taarifa rasmi kutoka fifa sio hizo za kuedit ambazo mi nawezaWacheni ngenga,FIFA kimenuka huko mumefungiwa kusajili misimu mitatu kudadadeq