Jamani CUF inatisha kuliko miaka yote iliyopita haijawahi kutokea hata mara moja tokea enzi hizo ,hii ni mara ya kwanza kwa umati wa watu kufurika kila kona ya Zanzibar wakati wa ufungaji wa kampeni Mjini Unguja.

Chadema hata mzikiri .u...i hamfikii kukusanya umati huo hapo sio mchezo .kesho ndio maziko ,hao uwaonao hapo wanasubiri maziko ya CCM kesho ,maziko yatakayochukua masaa kuminambili.