Elections 2010 Nani aliweza haya uhai wa CCM - CCM is dead

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
DSC004661.jpg
 
Jamani CUF inatisha kuliko miaka yote iliyopita haijawahi kutokea hata mara moja tokea enzi hizo ,hii ni mara ya kwanza kwa umati wa watu kufurika kila kona ya Zanzibar wakati wa ufungaji wa kampeni Mjini Unguja.

CUF-RALLY.jpg
 
mbona kama umati wa mkutano wa chadema? acha kupotosha umma mkuu!
 
Chadema hata mzikiri .u...i hamfikii kukusanya umati huo hapo sio mchezo .kesho ndio maziko ,hao uwaonao hapo wanasubiri maziko ya CCM kesho ,maziko yatakayochukua masaa kuminambili.
 
maziko_ya_CCM-300x225.jpg
Leo maziko baada ya sala ya maghribi apo maiti apelekwa kuombewa
 
Back
Top Bottom