heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hope mko njema,
Binafsi jana nikiawa nimetulia kibarazanii mida ya saa mbili usiku nilihisi mtikisiko wa nguvu tu uliodumu kama sekunde 10 hivi. Sikutilia maanani maana nilikua nipo bize na simu ila nilihis kama tinga tinga la kushindilia lami limepita kwa ule mtikisiko
Nikasema niingie ndani nipo katika kochi nakula pembeni palikua na sinia limefunika sufuria alafu juu palikua na kijiko, kwa utulivu wa pale ndani nikahisi kile kijiko kinatikisika maana niligeuka baada ya kusikia kinajigonga ktk sinia.
Niahisi bila shaka ni tetemeko nikaja kuprove asubuhi , uwani palikua na kizimba kina tank la maji alfu matofali yake yalikua na ufa wa muda mrefu pakawa kama pamemeguka kiasi kama keki iliyokatwa.
Ndo mdogo angu ananishtua mchana kaka mbona hili tofali limesogea kuja kutizama kweli basi nikajihakikishia ni tetemeko bila shaka kwa geography yangu ya form four . location mbezi
Ntaweka picha kesho