Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
tupo wawili, wewe na mimi tu! sijui wewe, ila mimi kilichoniponza ni sababu ile alosema Mzee Ben 'ulofa'hli goma wameburuza wengi nlibaki mim tu dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo wawili, wewe na mimi tu! sijui wewe, ila mimi kilichoniponza ni sababu ile alosema Mzee Ben 'ulofa'hli goma wameburuza wengi nlibaki mim tu dah!
ya hivyo banduguhli goma wameburuza wengi nlibaki mim tu dah!
Kama kweli wema anamimba mi nahama hii nchi
..nasubiria tu siku atakaposema mimba imechoropoka akiwa location..Idrisa kapagawa na tumbo kubwa la michemsho ya ulimi..!!
una uhakika?Ndugu yangu niko busy hatariiiii.
Ila mimba ni ya Idris,hayo mengine wanazusha tu.
Acha kujikweza dogo.inamaana hamnijui mpaka mnauliza kampa nani..?!!
acheni hizo wadau
Kapachikwa na maganga wa kienyeji...
Na mimi pia sijaliburuza...
Ndugu yangu niko busy hatariiiii.
Ila mimba ni ya Idris,hayo mengine wanazusha tu.