Nani aliyemtoa huyu mtu porini ?

Hivi ni nani aliyemtoa huyu binadamu porini akamvalisha suti na kumpeleka kwenye tuzo za MTV MAMA AWARDS ....kule kwa mzee madiba ...Mungu anamuona
Huyu mbona alishafariki, alikuwa katika award lini?
 
Huyu mbona alishafariki, alikuwa katika award lini?
Mkuu jaribu kuwa muelewa wa haraka kuna mtu hapo ndo amelengwa jiulize kati ya wale wasanii wa hapa bongo walioenda kwenye tuzo ni yupi anafanananae..?
jijibu mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…