Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mbona alishafariki, alikuwa katika award lini?Hivi ni nani aliyemtoa huyu binadamu porini akamvalisha suti na kumpeleka kwenye tuzo za MTV MAMA AWARDS ....kule kwa mzee madiba ...Mungu anamuona![]()
Anamaanisha kingHuyu mbona alishafariki, alikuwa katika award lini?
Mkuu jaribu kuwa muelewa wa haraka kuna mtu hapo ndo amelengwa jiulize kati ya wale wasanii wa hapa bongo walioenda kwenye tuzo ni yupi anafanananae..?Huyu mbona alishafariki, alikuwa katika award lini?
Hiyo itakuwa ya zamani, kafariki 2003Ndugu kusoma huwezi hata picha huoni....
Dhihaka ya kukeraHivi ni nani aliyemtoa huyu binadamu porini akamvalisha suti na kumpeleka kwenye tuzo za MTV MAMA AWARDS ....kule kwa mzee madiba ...Mungu anamuona![]()
AhaahahahahahHuyu si Mr nice?[emoji23] [emoji23]
Kituko cha kukela!Dhihaka ya kukera
Na kukera piaKituko cha kukela!