Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
kweli kabisa mkuu.Dhihaka ya kukera
Tatizo wako siriazi sana. Huko mashuleni walimu wa fasihi sijui wanafanya kazi gani. Tashtiti, dhihaka, ucheshi, imagery na parallelism (usambamba) sijui havifundishwi tena. Watu hawawezi kuchambua mambo kabisa hata haya madogo. Sasa kama falsafa ile nzito nzito kabisa sijui itakuwaje [emoji24][emoji24][emoji24]Kweli nimeamin watu kusoma alama za nyakat ni tatizo
Wewe amini tu. Mana ndio hali halisi hii.Utakuwa lini wewe mvulana?Au niamini utafiti wa 1:4?
Kuna masihara si ya kumfanyia Binadamu mwenzio.Uchochezi huo[emoji125]
Atakuwa domoHivi ni nani aliyemtoa huyu binadamu porini akamvalisha suti na kumpeleka kwenye tuzo za MTV MAMA AWARDS ....kule kwa mzee madiba ...Mungu anamuona
Sikuwa nimeelewa walahi.Anamaanisha king