Nani aliyemtoa huyu mtu porini ?

Nani aliyemtoa huyu mtu porini ?

Kweli nimeamin watu kusoma alama za nyakat ni tatizo
Tatizo wako siriazi sana. Huko mashuleni walimu wa fasihi sijui wanafanya kazi gani. Tashtiti, dhihaka, ucheshi, imagery na parallelism (usambamba) sijui havifundishwi tena. Watu hawawezi kuchambua mambo kabisa hata haya madogo. Sasa kama falsafa ile nzito nzito kabisa sijui itakuwaje [emoji24][emoji24][emoji24]
f17fd5de0c620f1ed80b14d167c7ac2d.jpg
 
Wakisema anafanana na Usher Raymond hakuna wa kubisha......ila akifanana na........ teh teh.....
 
huyo ndo kiba papid chizi wa bongo anacheza game tandale
 
Back
Top Bottom