Ili tuepukane na huu mjadala, naomba uweke kwenye kumbukumbu zako "tunamuumba Mungu kwenye akili zetu" baada ya kufikia upeo wa mwisho wa kufikiria unadhani kuna mweza ya yote .
Kwani Allah alikuwepo kabla ya muhamad?Wee jamaa MUONGO.
Unastahili Phd. ya Ubabaishaji.
Huo Uzushi wako ukiuongea hadharani hata Wagalatia wenzako watakutia makwenzi.
Ok Mungu ni nini yani neno Mungu lina maana gani?Mungu kaumbwa na binadamu na mungu kaumba binadamu. Yaani mungu ni imani iliyotungwa na watu. Kila mtu kaumba anavyojua yeye. Duniani Miungu ni mingi sana kila kabila wana mungu wao na wanajua utaratibu WA kuomba miungu yako. Hivyo Mungu ni nawazo yaliyotungwa na watu. Mpaka Leo bado miungu inatungwa na kutengenzwa .
Ndio maana kuna utofauti kati ya miungu unayoisema na Mungu.Mungu kaumbwa na binadamu na mungu kaumba binadamu. Yaani mungu ni imani iliyotungwa na watu. Kila mtu kaumba anavyojua yeye. Duniani Miungu ni mingi sana kila kabila wana mungu wao na wanajua utaratibu WA kuomba miungu yako. Hivyo Mungu ni nawazo yaliyotungwa na watu. Mpaka Leo bado miungu inatungwa na kutengenzwa .
Ndio maana kuna utofauti kati ya miungu unayoisema na Mungu.
Wewe unamaanisha mungu.
Mleta mada anamaanisha Mungu.