Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Makonda alikuwa nao ?fresh tu...kama unataka kumrithi
ila kumbuka hizo nafasi inakubidi uwe na mfereji mkubwa wa pesa
Kajificha, ana machunguMhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?
Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
Mshauri wa MO huyo aliyetekwa na bashite au MO yupi?Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?
Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
Malizia mapachaMwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake
Anaitwa bashite, acha kumpa jina feki kama Rais fekiMwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake
mbona alipachikwa hicho cheo mkuuMshauri wa MO huyo aliyetekwa na bashite au MO yupi?
Tuna taka fujo zake za ninaahidi nusu beiMwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake
Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?
Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
Walikujibu?Mhamasishaji Mkuu Mstaafu wa Taifa Stars Mh Makonda hajasikika akihamasisha lolote kwenye mechi ya Tunisia na Stars, kulikoni? Ni nani alimvua uhamasishaji huu na ni lini na Kwanini?
Mwanamichezo Makonda pia alikuwa Mshauri Mkuu wa MO kwenye masuala ya Simba, je bado cheo hiki anaendelea nacho?
Hii nchi imepitia mazito sana !Walikujibu?
Watu wengine mna mioyo sana, yaani Bashite unamwita kaka?? Nyie ndiyo mnamwita jiwe Shujaa wenu wa AfrikaMwacheni kaka Paulo.
Alistaafu kwa hiyari na sasa yuko busy analea watoto wake