Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi ingredients nazisikia leoNani aliweka Standard ya vitu hivi
-Pilau lazima liwe na Viazi
-Supu na chapati mbili
-Chips na Mayai mawili?
Mdau ongezea Kingine.
Mkuu toka utembee kidogo, jamii nyingi za Wali wa pilau hazina viazi, fried rice inaweza kuwa na mboga mboga, ama ikawekwa mayai, sea foods kama kamba, wengine wanapika na pili pili, kuna pilau la Binzari, jengine linawekwa kama mchuzi etc.Nani aliweka Standard ya vitu hivi
-Pilau lazima liwe na Viazi
-Supu na chapati mbili
-Chips na Mayai mawili?
Mdau ongezea Kingine.