Nani aliyesema kila Pilau linakuwa na Viazi?

Kuna inaitwa pilau bubu, haina nyama, ila ina viazi au haina kabisa
 
Wapi huko mnapika pilau la viazi mkuu?
 
Nani aliweka Standard ya vitu hivi
-Pilau lazima liwe na Viazi
-Supu na chapati mbili
-Chips na Mayai mawili?

Mdau ongezea Kingine.
Mkuu toka utembee kidogo, jamii nyingi za Wali wa pilau hazina viazi, fried rice inaweza kuwa na mboga mboga, ama ikawekwa mayai, sea foods kama kamba, wengine wanapika na pili pili, kuna pilau la Binzari, jengine linawekwa kama mchuzi etc.
 
Hilo pilau la viazi ni kwenu tu mkuu.
Wengine viazi tunaviona kwenye vibanda vya chips
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…