MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia.
Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo urithi wa dunia, hivyo si haba tukipata manufaa madogo madogo na makubwa makubwa kutokana na kuwepo jirani. Ila hizo vitu ni malli ya watu wote duniani.
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika.