MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Huenda nimeelewa kinyumenyumeWasalaam wana JF
Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia.
Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo urithi wa dunia, hivyo si haba tukipata manufaa madogo madogo na makubwa makubwa kutokana na kuwepo jirani. Ila hizo vitu ni malli ya watu wote duniani.
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika.
Umetoka lini wodini uncle MIXOLOGIST ?Wasalaam wana JF

Unaamanisha kwenye space station ya NASA?Umetoka lini wodini uncle MIXOLOGIST ?
Mkuu, wanyama wanaweza kuhama kama unavyosikia ndege wanaoishi KITULO wanaenda hadi ULAYA. Halikadhalika nyumbu wanahama kutoka TZ wanaenda KE. Mafuta hayahami yapo chini ya dunia hiyvo ni mali ya wakazi. Hoja yangu ni kwamba, huwezi kujimilikisha wanyama wa mwituni sisi tunatoa hifadhi tu kwa hao wanyama na si vinginevyo. Wanaweza wakaamua wenyewe kusepa kwenda nchi nyingine au bara lingine na wakishaondoka haiwezi tena kuwa hifadhi au mbuga litakua pori tu kama mapori mengine,Basi nenda urusi kwa Putin ukachimbe mafuta ,maana hata mafuta urusi hawajatengeneza wao ni natural resources kutoka kwenye aridhi ya dunia ambayo ni Mali ya kila mtu kama unavosema [emoji28]
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika[emoji15][emoji3064]Wasalaam wana JF
Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia.
Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo urithi wa dunia, hivyo si haba tukipata manufaa madogo madogo na makubwa makubwa kutokana na kuwepo jirani. Ila hizo vitu ni malli ya watu wote duniani.
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika.
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika[emoji15][emoji3064]Wasalaam wana JF
Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia.
Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo urithi wa dunia, hivyo si haba tukipata manufaa madogo madogo na makubwa makubwa kutokana na kuwepo jirani. Ila hizo vitu ni malli ya watu wote duniani.
Kama mjomba wetu wa Oman akiomba simba mmoja au chui wawili shida ni nini? Tuache siasa mwaka wa uchaguzi 2025 haujfafika.
Nataka nikamuhoji Elon musk kwanini anatumia pesa alizozipata kupitia resources zetu kujinufaisha peke yake.Basi nenda urusi kwa Putin ukachimbe mafuta ,maana hata mafuta urusi hawajatengeneza wao ni natural resources kutoka kwenye aridhi ya dunia ambayo ni Mali ya kila mtu kama unavosema [emoji28]