GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura.
Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu wananipa nami ili 2025 Jina langu katika Karatasi ya Kura lianze na Dkt. GENTAMYCINE na siyo GENTAMYCINE na ni matumaini yangu makubwa Watanzania mnaowaogopa wenye Doctorates na kuwaona ndiyo wana Akili na ni kila Kitu mtanipa Kura zenu za ndiyo kwa Uwingi na hatimaye kuwa Rais wenu ajaye na nawaahidi sitowaangusha Abadan.