Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Wanatakiwa waeke na ubingwa wa Epl uwe na play off... wanachukua top four zinaingia kwenye kinyang’anyiro bingwa ndio anachukua kombe
 
Kuna katimu wanakatafutia ubingwa wa ngao ya jamii

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
huu ni ujinga mkubwa
 
Kupitia huu uzi nimegundua watu hawana akiili aisee,
Hii JF ndo inajisifu kuwa na watu wenye akili? Au watu wenye umuch know ambao hawaelewi hata wakiwekewa point ?
 
Uo mfumo wa kispaniola sio wa ku copy niwa kipuuzi tu. Ndio maana timu zina cheza mechi za maandalizi.
Ilitakiwa ichezwe mechi moja tu kama ni Yanga vs Simba ligi ianze.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Rubbish. Kwahiyo huo mfumo wa timu mobility umeiga toka wapi?
 
Kupitia huu uzi nimegundua watu hawana akiili aisee,
Hii JF ndo inajisifu kuwa na watu wenye akili? Au watu wenye umuch know ambao hawaelewi hata wakiwekewa point ?
Weka akili zako tuone fact zako siyo unakimbilia kushutumu watu kuwa hawana akili.

Weka akili zako tuone.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu mfumo ni mzuri tu hasa ukizingatia lengo la ngao ya jamii na Spain tayari wanautumia sijui mnaopinga mna agenda gani? Hampend kuangalia mpira au?
 
Ngao ya jamii ya namn hiyo ipo tena ligi kubwa ulaya Laliga na Bundesliga
Ni vile tu wabongo tumezoea kila kitu iwe kama Epl
 
Kupitia huu uzi nimegundua watu hawana akiili aisee,
Hii JF ndo inajisifu kuwa na watu wenye akili? Au watu wenye umuch know ambao hawaelewi hata wakiwekewa point ?

JAMII forum IMEKUWA na WATU wa HOVYO MNO.

Mitandao Mingi ya kijamii Tz inatumiwa na WATU WAJINGA kufuatilia mambo ya kijinga na KIPUMBAFU.

HAWAPO kwaajili ya kutafuta MAARIFA na UJUZI.

Binafsi nilijiondoa JF.
Baadaye nikaona nirudi kwa Acc mpya.

HII SIO JAMII FORUM NINAYOIJUA MIMI.
 
Anzisha mtandao wako wa watu serious

Siyo unakuja kutukana watu humu na kujifanya mjuaji.

Bung'o WEWE [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…