Nani aliyewashauri TFF na Bodi ya Ligi kuingiza timu nne kwenye michuano ya Ngao ya Jamii?

Siyo kwamba Wabongo tumezoea, Bali Tanzania ni nchi ya common wealth, bunge la Westminster na barabara zetu ni keep left.

Unataka kuongea nini mbele ya Mwingereza?
Sasa usiseme mfumo mbaya kisa uingereza hawafanyi je ikitokea England nayo ikaamua kutumia mfumo huu utasemaje napo?
 
Super cup walishaikataa, tafuta historia ya football kwanza Ndio uanze kuwachallenge Waingereza ewe mbumbumbu.
 
Super cup walishaikataa.
Nakumbuka England walikuwa wantumia mfumo wa home and away kwenye Fa ila sisi tukaweka mfumo wa mechi moja tu ukipigwa nje sisi wabongo tukalalamika kinoma
Matokeo yake sasa England nao wakaleta wazo watumie mfumo wa mechi moja kama sisi sasa hapo ndio napoona mda mwengine tunashindwa kujiamini wenyewe
 
England wameiga Tanzania? Alooooh!! In Mwamposa voice.😀😀
 
Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.

Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.

Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.

Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.

Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Moja mapato ya mji wa Tanga
Pili kampeni ya Karai kurudi Tifuatifua
Tatu kutaka kugombea Ubunge
Nne swaga za kijinga jinga za kisomali japo hili halina uzito.
 
Tunaonewa sana
FB_IMG_1691561872099.jpg
 
Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.

Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.

Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.

Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.

Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Ujinga wa TFF kutaka mapato na kurefusha tumbo la Karai.
 
Back
Top Bottom