Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Siyo kwamba Wabongo tumezoea, Bali Tanzania ni nchi ya common wealth, bunge la Westminster na barabara zetu ni keep left.Ngao ya jamii ya namn hiyo ipo tena ligi kubwa ulaya Laliga na Bundesliga
Ni vile tu wabongo tumezoea kila kitu iwe kama Epl
Sasa usiseme mfumo mbaya kisa uingereza hawafanyi je ikitokea England nayo ikaamua kutumia mfumo huu utasemaje napo?Siyo kwamba Wabongo tumezoea, Bali Tanzania ni nchi ya common wealth, bunge la Westminster na barabara zetu ni keep left.
Unataka kuongea nini mbele ya Mwingereza?
Super cup walishaikataa, tafuta historia ya football kwanza Ndio uanze kuwachallenge Waingereza ewe mbumbumbu.Sasa usiseme mfumo mbaya kisa uingereza hawafanyi je ikitokea England nayo ikaamua kutumia mfumo huu utasemaje napo?
Nakumbuka England walikuwa wantumia mfumo wa home and away kwenye Fa ila sisi tukaweka mfumo wa mechi moja tu ukipigwa nje sisi wabongo tukalalamika kinomaSuper cup walishaikataa.
England wameiga Tanzania? Alooooh!! In Mwamposa voice.😀😀Nakumbuka England walikuwa wantumia mfumo wa home and away kwenye Fa ila sisi tukaweka mfumo wa mechi moja tu ukipigwa nje sisi wabongo tukalalamika kinoma
Matokeo yake sasa England nao wakaleta wazo watumie mfumo wa mechi moja kama sisi sasa hapo ndio napoona mda mwengine tunashindwa kujiamini wenyewe
Moja mapato ya mji wa TangaMpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.
Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.
Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.
Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.
Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Naona unataka ubishani basi mshindi weweEngland wameiga Tanzania? Alooooh!! In Mwamposa voice.😀😀
punguza Domo,Simba mna timu ya kawaida sana ila mnavyo pandisha mihemko Sasa,Bado hujasema Utopolo,yaani mpaka useme safari hii. Yaan mziki ule unatuwekea skubidubi.
Kama huna hoja ni Bora kukaa kimyaWatu kama mtoa mada wamefanya niidharau JF[emoji706]
Kwani nimeitaja Simba?Unashikwa na haja ukiiwaza Simba?Wapi nilipoandika naogopa??
Kwa akili yako unadhani Simba sc anakikosi Cha kuifunga Yanga Sc
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huna hoja.Kwani nimeitaja Simba?Unashikwa na haja ukiiwaza Simba?
Kivumbi leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wa TFF kutaka mapato na kurefusha tumbo la Karai.Mpaka Sasa sijapata majibu kwa hili ninaloliona hapa katika mpira wetu hapa Tanzania.
Nijuavyo Mimi katika ngao ya jamii ilipaswa mshindi wa kombe la ligi na mshindi wa kombe la FA ndiyo wakutane tofauti na hapo Mshindi wa ligi atakutana na mshindi wa pili.
Hiki alichokileta Karia na genge lake sijui kakitoa wapi na sijui kina lengo gani katika mpira wetu huu wa Tanzania.
Zimeingia timu nne Ina maana michuano ya ngao ya jamii imenzia nusu mpaka fainali Hili ni Jambo la kushangaza sana.
Labda Kama Kuna anaejua huu mfumo TFF wameutoa wapi waje watueleze.
Masuaala muhimu Kama haya wachambuzi wa Mchongo wamefumba Macho wanajifanya hawaoni Ila wanasubiri Aziz k aharibu ndiyo watokwe na mapovu.
Kweli kabisa na wameweka kiingilio elfu kumi huko.Ujinga wa TFF kutaka mapato na kurefusha tumbo la Karai.
Huna hoja.Tunaonewa sanaView attachment 2712560
Fainali elfu 20 mzunguko wameweka kweli ulisema kweliUjinga wa TFF kutaka mapato na kurefusha tumbo la Karai.