Nani alizima harakati za R.O.M.A?

Nani alizima harakati za R.O.M.A?

Munamuge

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
810
Reaction score
795
Nazikumbuka Tungo za R.O.M.A

"Uchafu wa Mrisho, unamfanya Benja aonekane msafi"
"We ni mkwere wa Chalinze ambae hautomsahau Mnyakyusa, Mwakyembee alowafunisha Monduli siasa"
"Wameacha tizi wakaoa ka Mrisho Ngasa, mi nakomba pesa zote nasepa kama Lowasa"
"Bandugu bwaga manyanga, ayaokote Magufuli"

Na nyingine nyingi unazozikumbuka hasa kwa msimu huu wa kuelekea 25/Oct

Je, ni nini kilimsibu hadi kufikia ukimya huo?
 
Ukimya umekuja baada ya kujua uonevu na udhaifu wa CCM.
CCM ilimwangushia Lowassa zigo la Richmond ili kumwokoa Rais
Roma pamoja na Kalla wametambua ukweli pamoja nasi sote.
Ndio maana tunamtaka Lowassa kama alivyo!
 
Nazikumbuka Tungo za R.O.M.A
"Uchafu wa Mrisho, unamfanya Benja aonekane msafi"
"We ni mkwere wa Chalinze ambae hautomsahau Mnyakyusa, Mwakyembee alowafunisha Monduli siasa"
"Wameacha tizi wakaoa ka Mrisho Ngasa, mi nakomba pesa zote nasepa kama Lowasa"
"Bandugu bwaga manyanga, ayaokote Magufuli"

Na nyingine nyingi unazozikumbuka hasa kwa msimu huu wa kuelekea 25/Oct

Je ni nini kilimsibu hadi kufikia ukimya huo?

Japo lowasa fisadi kweli ila roma hana kipaji
 
Roma ni kama nabii..

ameshaimba vyote akamaliza, na sasa ndo vinatokea kimoja kimoja..
ndomana skuizi akitoa wimbo anamuimbia Mungu tu.
 
Ukimya umekuja baada ya kujua uonevu na udhaifu wa CCM.
CCM ilimwangushia Lowassa zigo la Richmond ili kumwokoa Rais
Roma pamoja na Kalla wametambua ukweli pamoja nasi sote.
Ndio maana tunamtaka Lowassa kama alivyo!
Asante sana mkuu.
 
Bandugu bwaga manyanga abaogote Magufuri...... Na ndio anayaokota kwel baada ya Oct....... Nakomba pesa zote kisha nasepa kama Lowasa Ahahahaha afu anataka ikulu..... Shame on you mnaoshikiwa akili.
 
duh kweli jamaa nabii teh teh
 
Roma watu walichoka mziki wake wa kutabirika, mtu anakaa kimya mwakamzima na tunajua kabisa akirudi atarudi na muktasari wa matukio ya mwakamzima, sa yanini si bora nisikilize taarifa ya habari au nisome magazeti tu. Mwanamziki hautakiwi utabirike, Diamond ingawa anaimba mapenzi ila nyimbo zake ukisikiliza unaona kabisa zinatofautiana, ni ngumu pia kumtabiri mtu kama Joh Makini atakuja na kitu gani hata style ya flow anachange, but Roma vocal zake zote zinakaa kwenye beat moja
 
Ni kweli aisee, nimeona hata mapokeo ya hii track yake mpya. Bila kuhamia kwenye siasa za wazi ( kusapot upande mmoja) sidhani kama huu wimbo ungepata hata mtu wa kuuongelea. Sema anabebwa na vuguvugu la mabadiliko
 
ana kuwa kama mtunzi wa vichwa vya habari vya magazeti...japo vinatoa burudani..saa nyingine mantic ni ndogo sana
 
Ni kweli aisee, nimeona hata mapokeo ya hii track yake mpya. Bila kuhamia kwenye siasa za wazi ( kusapot upande mmoja) sidhani kama huu wimbo ungepata hata mtu wa kuuongelea. Sema anabebwa na vuguvugu la mabadiliko

Msanii wa matukio, likiisha tukio anaexpire. Huu wimbo kama ulivyosema umepokelewa kwakuwa ndicho kitu wanachotaka kukisikia wengi kwasasa (mabadiliko) so yeyote atakayeusifia upande huo sahivi atapokelewa vizuri tu, ila huo wimbo hauna jipya!
 
Back
Top Bottom