Nani amehusika kwenye tukio hili la Ujambazi?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Utaweza kweli πŸ˜‚

Kuna tukio la ujambazi limetokea mtaa wa jirani na jambazi ni kati ya Alex, Ben, Rick na Maria angalia hii picha.

Ila walipofuatwa na polisi kila mtu alidai kwamba hakutoka usiku huo kwa sababu ya baridi kali na theluji iliyokuwa ikidondoka

Unadhani aliyefanya tukio hilo ni nani na kwanini!?
 
Rick,kwa Sababu barafu kwenye gari lake ni kidogo kulinganisha na wenzake,inaonyesha hakuwepo!
 

No conclusion; hatujui upande wa pili ila Nyumba ukoje, uchunguzi hauwezi ishia kwenye movements za magari yanayoonekana tu! What if wawili wamehusika na kuweka mazingira ya mwingine!!?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…