Nani amekudanganya kuwa mwanamke anachungwa?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Mwanamke hachungwi bana anajiongoza mwenyewe!

Utaweza kumchunga mtu anaeweza kutumia dakika tano kumaliza kila kitu? Unapoteza nguvu na maarifa tele kumfikiria namna ya kumdhibiti mtu na akili zake kama wewe.

Tumia uwezo huo kutafuta hela wewe,utakaa hivyo hivyo. . . . . . . . Naona wife Kaunga ameivisha mtori ngoja nikaugonge fasta niwahi kijiweni!. . . . . . .

Wife twen'zetu. . . . . Mwanamke mwachie uhuru akifanya madudu shauri yake,kwani huwezi kumzuia. . . . .Sweetie hebu sogea hapa nikunyweshe mtori. . . .Sisi tunaaminiana bana!
 
Kimbweka kasema eti kwa mujibu wa maandiko matakatifu tulishauriwa tusiwachunge wanawake lakini tuishi nao kwa akili..............!
 
Last edited by a moderator:
Kimbweka kasema eti kwa mujibu wa maandiko matakatifu tulishauriwa tusiwachunge wanawake lakini tuishi nao kwa akili..............!

Ukweli upo hapo,tena mwingi tu!
 
Last edited by a moderator:

Tatizo lako wewe unaiba mke wa mtu vibaya!Ona sasa mumewe keshakustukia! Na amesema usirudie tena maana keshaweka tego, utanasa mwaka mzima! Sahuri yako
 
kimbweka kasema eti kwa mujibu wa maandiko matakatifu tulishauriwa tusiwachunge wanawake lakini tuishi nao kwa akili..............!

mmmmhhhhhh_kujihangaisha kuishi na mtu kwa akili ndio kumchunga kwenyewe huko.
 
Ndio!!!tunachungika kwa kupewa heshima na mapenzi motomoto
 
vyovyote vile itakavyotafsirika ILA LENGO KUU NI KUZUIA KUMEGEWA kwa kutumia mbinu za kifisikia au kisaikolojia

Mwanamke hazuiwi kumegwa anajizuia mwenyewe!
 
Hii ni kwa upande wa pili pia Mwanaume hachungwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…