Nani amekudanganya kuwa mwanamke anachungwa?

Nani amekudanganya kuwa mwanamke anachungwa?

Eeesh..hata umchunge atamegwa tu.hakuna cha mapenzi motomoto ama nini,hawa watu wanapenda sana kumegwamegwa.
You can only trust a woman if she is above 50.
 
.....unapokuwa na kipofu usimthibitishie kuwa haoni.... Vile vile katika kuishi 'kiakili' na mw'mke wako.
 
namtafuta wa kunichunga! nimemiss kuchungwa! lol
 
Eeesh..hata umchunge atamegwa tu.hakuna cha mapenzi motomoto ama nini,hawa watu wanapenda sana kumegwamegwa.
You can only trust a woman if she is above 50.

hapo umenena, siku hizi mpenzi wako ni wako ukiwa nae tu, mkiachana masaa machache tu, si wako tena.
 
Ukweli upo hapo,tena mwingi tu!

Ndo kuchunga kwenyewe huko...abiria kuchunga mzigo wake ni akili pia..mtafutie kaunga wako kazi ya ubaa medi basi...or mruhusu atoke na rafiki zako..
 
.....unapokuwa na kipofu usimthibitishie kuwa haoni.... Vile vile katika kuishi 'kiakili' na mw'mke wako.

Eiyer LIKE this. . . . . . . .
 
kazi kweli, waweke kufuli kunako
 
Umenena!kuliko kumchunga binadamu mmoja bora uchunge mbuzi mia!
 
Back
Top Bottom