Rubbish......What do you see?Eeeh. . . .
Mwanamme anachungwa lol
.....unamchungaje?....😛
Mwanadamu hachungiki bana...
Atajichunga kwa matakwa yake...
mara hii umesahau samaki wa magufulibahari hailindiki.
Eeesh..hata umchunge atamegwa tu.hakuna cha mapenzi motomoto ama nini,hawa watu wanapenda sana kumegwamegwa.
You can only trust a woman if she is above 50.
Ukweli upo hapo,tena mwingi tu!
Bahari hailindiki.
hapo umenena, siku hizi mpenzi wako ni wako ukiwa nae tu, mkiachana masaa machache tu, si wako tena.